Kenyans have send in some of hilarious humble requests tied to the current hard life being experienced in the country.
The concerned citizens however did so using memes.
Check out some of the hilarious requests
- Road to success ipanuliwe tufike haraka.
2.Okoa jahazi ya 50 ikuje ikiwa 50 na si 45 coz hiyo ni haramu.
- Watu walipe matatu kulingana na weight yao
4.Light at the end of the tunnel izimwe inakula stima sana.
5.Kenya iwekwe kwa olx iuzwe na kila mtu agawiwe pesa zake ajipange
6.Tv zenye zinatumia ariel zitolewe za omo ziletwe
7.Fare ya kwenda South Africa ipunguzwe coz ni mteremko
- Wachonge side moja ya miti za kiberiti ziwe toothpick ama waweke wax both sides
9.Watu wakikosa tumaini wanunue tumatumbo
10.Totoise ikizeeka iitwe babuise ama nyanyaise iache kuconfuse watu
11.Mandazi ipikwe ya rectangle ya kawaida– tri♦agle wanaiba kona kubwa
12.Mapenzi ya dhati ipunguzwe iwekwe ya twenty
13.Sukuma wiki iongezwe isukume mwezi ama mwaka
14.National anthem ikuwe na sound effects kama ikibamba sana wapi nduru…
- Education is key to success. Hio Key ifanywe copies kila mtu apewe yake.