Diamond Platnumz is set to become the new billionaire in East Africa moments after being dumped by Zari Hassan who is currently filing divorce papers.
Zari who is headed to South Africa wants to give no ear to the bongo star, while the bongo star has turned his head to business.
His Radio and TV permit was approved by the government and he is set to venture into the media industry which commands a good capital income if well managed.
He wrote,
“Leo tulikabidhiwa rasmi leseni ya @wasafitv na @wasafifm na mh waziri wa habari, tamaduni , utalii na michezo Zanzibar mh Rashid Ali Juma…..shukran nyingi ziifikie serikali ya mapinduzi Zanzibar na jamuhuri nzima ya muungano wa Tanzania… ma raisi wetu pendwa Dr John Pombe Magufuli & Dr Ali Mohammed Shein pamoja na mawaziri wa habari tamaduni na michezo mh Rashid Ali Juma & Harrison Mwakiyembe….tamanio letu ni kutengeneza nyanja za ajira kwa nduguzetu wenye taaluma za habari na utangazaji ambao pengine hawajapata nafasi bado….kwa kuthamini kuwa, bila wao leo hii sisi tusingekuwepo….lakini pia pamoja kushirikiana na media zetu nchi kuendeleza kunyanyua vipaji toka mitaani na tasnia nzima ya sanaa, michezo na tamaduni…. #hiiniyetusote”