Wasafi Records owned and founded by top Tanzanian bongo star Diamond is looking for new click of talents across East Africa
After launching a new program meant to enrich peace among artists across the same region.
“Kama nilivyoahidi mwanzo kuwa leongo kuu la kuanzisha Vyombo, Bidhaa vitu mbalimbali ni kuona ni namna gani naweza kutengeneza Fursa za Kuwashika Mkono, ama kuwakomboa vijana wenzetu mbalimbali wenye uwezo lakini pengine labda hawajathaminiwa, ama kupewa nafasi ya kuonyesha Taaluma walizojaaliwa na Mwenyez Mungu….
“Hivyo Ijumaa hii tunazindua Rasmi kipindi kinachoitwa #TheNextMVP kipindi ambacho kitakuwa kina wapa nafasi vijana mbalimbali ambao tunaamini wanauwezo mkubwa na wakipewa Support Watakuwa wawakilishi ama Wapepwrusha bendera vyema wa Sanaa zetu na Taaluma zetu mbalimbali tulizojaaliwa Tanzania…
“Tafadhali Usikose Kutazama ijumaa hii Saa Mbili na Nusu Usiku ndani ya @WasafiTv … pia nisaidie kuwatag Wana wote ambao Unaamini wanakipaji mtaani ili @wasafitviwaone……. #SanaaImezaliwaUpya#HiiNiYetuSote”, Diamond announced on social media
One can apply through and submit their piece of work via the link below